News & Events

UFADHILI WA MASOMO YA KOZI ZA UFUNDI 2021

UFADHILI WA MASOMO YA KOZI ZA UFUNDI 2021

UFADHILI - NAFASI ZA MASOMO - BURE Chuo cha Ufundi cha Help to Self Help kilichopo SAKINA - JIJINI ARUSHA kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu tunatekeleza programu ya kukuza UJUZI kwa kutoa mafunzo ya ufundi stadi kwa miezi 6 kwa...